Picha : RAIS MAGUFULI AKIONGOZA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA TAIFA YA CCM DODOMA
Friday, February 28, 2020
Wajumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa wakiongozwa na Mwenyekiti Rais John Magufuli wakiwa katika kikao cha kawaida cha Kamati Kuu kinachoendelea katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba, Dar es salaam.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin