Picha : MUONEKANO WA UWANJA WA MAJENGO, MOSHI BAADA YA IBADA YA MTUME MWAMPOSA KUKANYAGA MAFUTA YA UPAKO
Sunday, February 02, 2020
Muonekano wa Uwanja wa Majengo, Moshi baada ya ibada ya jana iliyoongozwa na Mtume Boniface Mwamposa kugeuka vilio baada ya watu 20 kufariki dunia walipokanyagana wakipita kwenye ‘mafuta ya upako’.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin