Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Mwakilishi
wa Jumuiya ya Ulaya (EU) hapa nchini Balozi Manfredo Fanti aliyeongozana
na Balozi Emilio Rosetti alipokutana naye Ikulu jijini Dar es salaam
Februari 5, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwakilishi wa Jumuiya
ya Ulaya (EU) hapa nchini Balozi Manfredo Fanti aliyeongozana na Balozi
Emilio Rosetti alipokutana naye Ikulu jijini Dar es salaam Februari 5,
2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na Mwakilishi wa Jumuiya ya
Ulaya (EU) hapa nchini Balozi Manfredo Fanti aliyeongozana na Balozi
Emilio Rosetti alipokutana naye Ikulu jijini Dar es salaam Februari 5,
2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsindikiza baada ya mazungumzo
Mwakilishi wa Jumuiya ya Ulaya (EU) alipokutana naye Ikulu jijini Dar es
salaam Februari 5, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mwakilishi wa Jumuiya ya
Ulaya (EU) hapa nchini Balozi Manfredo Fanti baada ya kukutana naye
Ikulu jijini Dar es salaam Februari 5, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Katibu Mtendaji wa
Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) Dkt. Stergomena Tax
alipokutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam
Februari 5, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Bw. Mkundi Mutasa
aliyeongozana na Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa
Afrika (SADC) Dkt. Stergomena Tax aliyekutana naye kwa mazungumzo Ikulu
jijini Dar es salaam Februari 5, 2020. Kulia ni Mkuu wa Itifaki Kanali
Wilbert Ibuge
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Katibu
Mtendaji wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) Dkt.
Stergomena Tax aliyeongozana na Afisa wake mwandamizi Bw. Mkundi Mutasa
alipokutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam
Februari 5, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsindikiza Katibu Mtendaji wa
Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) Dkt. Stergomena Tax baada
ya kukutana na kufabya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam
Februari 5, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Balozi wa China hapa
nchini Mhe. Wang Ke alipokutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini
Dar es salaam Februari 5, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Balozi wa China hapa
nchini Mhe. Wang Ke alipokutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini
Dar es salaam Februari 5, 2020. Kulia ni Mkuu wa Itifaki Kanali Wilbert
Ibuge.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Balozi wa
China hapa nchini Mhe. Wang Ke alipokutana na kufanya naye mazungumzo
Ikulu jijini Dar es salaam Februari 5, 2020
PICHA NA IKULU
Social Plugin