RAIS MAGUFULI AMUAPISHA BALOZI KANALI IBUGE KUWA KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI
Saturday, February 08, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Balozi Kanali Wilbert Augustine Ibuge kuwa Katibu Mkuu katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumamosi Februari 8, 2020,Picha na IKULU
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin