Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhandisi Robert Gabriel(katikati) akikata utepe kuzindua duka la mtandao wa Tigo mjini Geita.
Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhandisi Robert Gabriel (aliyevaa suti) akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Ziwa Uthmaan Madati, wakati wa uzinduzi wa duka la Tigo mjini Geita.
Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhandisi Robert Gabriel (aliyevaa suti) akikata keki sambamba na wateja wa Tigo, wakati alipozinduka duka la kampuni hiyo ya mawasiliano mjini Geita.
Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhandisi Robert Gabriel, akizungumza wakati wa hafla ya kuzindua duka la Tigo mjini Geita.
Social Plugin