Shirika la Reli Tanzania (TRC) limesitisha safari za treni za abiria na mizigo kwenye reli ya kati baada ya kuharibika reli maeneo ya Igandu, Kilosa, Makutupora na Dodoma kutokana na mafuriko yaliyosababishwa mvua kubwa zinazonyesha kwenye maeneo hayo.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin