ALIYEKUWA MWENYEKITI WA TPSF SALUM SHAMTE AFARIKI DUNIA
Monday, March 30, 2020
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) na Mkurugenzi wa zamani wa Katani Limited Salum Shamte amefariki dunia katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, alikokuwa akipatiwa matibabu.
Mkewe Mariam Shamte amethibitisha.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin