Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

IRENE ROBERT AISHANGAZA FAMILIA YA MUZIKI WA INJILI, AACHIA VIDEO KIWANGO SANA..ITAZAME HAPA

 Mkali wa Muziki wa Injili Tanzania, Princess Irene Robert, kaja kwa kishindo kingine.
Baada ya kuachia wimbo Mkali wa Tembea Mwishoni mwa mwaka 2019, Sasa 2020 amekuletea wimbo mpya kabisa uitwao Vilevile.
Wimbo huo amewashirikisha waimbaji kutoka Kenya Guardian Angel, Levixone na Gaby Kamanzi. 
Karibu uusikilize ,utazame wimbo na utabarikiwa Sana.
TAZAMA VIDEO

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com