Maandalizi ya kufunga Mafunzo ya Jeshi la Akiba wilaya ya Shinyanga yamekamilika.
Msaidizi Ofisi ya Jeshi la Akiba wilaya ya Shinyanga,Sajenti Geofrey Kamala amesema mafunzo hayo yaliyoanza Novemba 4,2019 yatafungwa kesho Jumanne Machi 10,2020 katika Viwanja vya Sabasaba Mjini Shinyanga ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Jasinta Mboneko.
“Maandalizi yamekamilika,Jumla ya wanafunzi 141 kati yao wanaume 101 na wanawake 40 watahitimu mafunzo yao kesho.Tunawakaribisha wananchi kuja kua kushuhudia ufungaji wa mafunzo ya Jeshi la Akiba”,amesema Kamala.
Malunde 1 blog leo Jumatatu Machi 9,2020 imeshuhudia wahitimu wa mafunzo ya Jeshi la Akiba wakifanya mazoezi ya maandalizi ya kufunga mafunzo hayo katika viwanja vya Sabasaba vilivyopo Kambarage Mjini Shinyanga.
Mapema leo Jumatatu Machi 9,2020 ,Msaidizi Ofisi ya Jeshi la Akiba wilaya ya Shinyanga,Sajenti Geofrey Kamala (mwenye tisheti nyeupe) na Mkufunzi wa mafunzo ya Jeshi la Akiba Isaya Mbise wakikagua Gwaride la Maandalizi ya kufunga mafunzo ya Jeshi la Akiba wilaya ya Shinyanga Machi 10,2020. Picha zote na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Wahitimu wa mafunzo ya Jeshi la Akiba wilaya ya Shinyanga wakiwa kwenye Gwaride la Maandalizi ya kufunga mafunzo ya Jeshi la Akiba wilaya ya Shinyanga.
Wahitimu wa mafunzo ya Jeshi la Akiba wilaya ya Shinyanga wakiwa kwenye Gwaride la Maandalizi ya kufunga mafunzo ya Jeshi la Akiba wilaya ya Shinyanga.
Msaidizi Ofisi ya Jeshi la Akiba wilaya ya Shinyanga,Sajenti Geofrey Kamala akiangalia Bendi ya Wahitimu wa Jeshi la Akiba wakiwa kwenye Maandalizi ya kufunga mafunzo ya Jeshi la Akiba wilaya ya Shinyanga Machi 10,2020.
Kulia ni Mkufunzi wa mafunzo ya Jeshi la Akiba Isaya Mbise akiangalia Gwaride la Maandalizi ya kufunga mafunzo ya Jeshi la Akiba wilaya ya Shinyanga Machi 10,2020.
Kulia ni Msaidizi Ofisi ya Jeshi la Akiba wilaya ya Shinyanga,Sajenti Geofrey Kamala akiangalia Gwaride la Maandalizi ya kufunga mafunzo ya Jeshi la Akiba wilaya ya Shinyanga Machi 10,2020.
Wahitimu wa mafunzo ya Jeshi la Akiba wilaya ya Shinyanga wakiwa kwenye Gwaride la Maandalizi ya kufunga mafunzo ya Jeshi la Akiba wilaya ya Shinyanga
Wahitimu wa mafunzo ya Jeshi la Akiba wilaya ya Shinyanga wakiwa kwenye Gwaride la Maandalizi ya kufunga mafunzo ya Jeshi la Akiba wilaya ya Shinyanga
Wahitimu wa mafunzo ya Jeshi la Akiba wilaya ya Shinyanga wakiwa kwenye Gwaride la Maandalizi ya kufunga mafunzo ya Jeshi la Akiba wilaya ya Shinyanga.
Picha zote na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Social Plugin