Mbwana Samatta amefunga bao lake la kwanza kwenye Uwanja wa Wembley kunako Dakika ya 41 wakati Aston Villa ikivaana na Manchester City katika fainali ya Kombe la Carabao.
Nahodha huyo wa Tanzania ameanza katika kikosi cha kwanza cha Aston Villa na kazi yao ni moja tu.... kuhakikisha wanawazuia Manchester City kutetea ubingwa wake wa Kombe la Carabao.
Villa mara ya mwisho kutwaa ubingwa ilikuwa msimu wa 1995/96 .
Social Plugin