Dakika 90 za Mchezo Kati ya Manchester City na Aston Villa kwenye Uwanja wa Wembley zimemalizika ....Manchester City Wamebeba Ubingwa wa Carabao Cup kwa msimu wa tatu mfululizo baada ya kuichapa Aston Villa 2-1.
Hata hivyo, Mtanzania Mbwana Samatta amekuwa mchezaji wa kwanza wa Tanzania kuifunga goli Manchester City na amekuwa mchezaji wa tano kutoka Bara la Afrika kufunga kwenye Kombe la Ligi, wengine ni Didier Drogba , Joseph-Désiré Job, Obafemi Martins na Yaya Touré.
Social Plugin