Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

KUINGIA HOSPITALI YA BUGANDO KUANZIA LEO NI LAZIMA UVAE BARAKOA 'MASK'

Kuanzia leo Aprili 24, 2020, mtu yeyote yule, wakiwemo wagonjwa ama ndugu za wagonjwa atakayeingia katika Hospitali ya Bugando  jijini Mwanza, atatakiwa kuvaa barakoa na kuirejesha getini kabla ya kutoka, ikiwa ni hatua ya kujikinga na maambukizi ya Virusi vya Corona.





Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com