Picha : MAZISHI YA ALIYEKUWA MKUU WA WILAYA YA MTWARA, EVOD MMANDA
Tuesday, April 28, 2020
Mazishi ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, Evod Mmanda yamefanyika leo Jumanne Aprili 28,2020 asubuhi eneo la Pemba Mvita na kuhudhuriwa na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Gelasius Byakanwa.
Mazishi hayo yamehudhuriwa na ndugu wachache na kusimamiwa na serikali.
Picha: AzamTv
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin