Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Shinyanga Hussein Mussa akizungumza na waandishi wa habari Mjini Shinyanga leo Jumatano Aprili 22,2020 ambapo amesema TAKUKURU mkoa wa Shinyanga imeokoa Tsh. Milioni 118,851,957/= kutoka Vyama vya Ushirika na Saccos.
Aidha ametahadharisha wananchi kuchukua tahadhari juu ya matapeli wanaojifanya kuwa ni maafisa wa TAKUKURU hivyo wananchi watoe taarifa katika ofisi ya TAKUKURU iliyo karibu pale wanapomtilia mashaka mtu anayejitambulisha kwao kuwa ni Afisa wa TAKUKURU.

Social Plugin