Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

MGONJWA MWINGINE WA CORONA APONA TANZANIA


"Mungu ni mwema. Na leo pia hatuna case mpya za COVID19.  Mgonjwa wa Kagera (Ngara) amepona. Sasa jumla ya waliopona ni 3. Mgonjwa aliyebaki wa Arusha vipimo vyake siku ya 9 leo ni Negative. Tutampima siku ya 14 ili kujiridhisha kama  amepona. Wengine 15 waliobaki wanaendelea vizuri"-UMMY MWALIMU




Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com