WENYE VIRUSI VYA CORONA ZANZIBAR WAFIKA 24....NI BAADA YA WENGINE 6 KUONGEZEKA LEO
Thursday, April 16, 2020
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imetangaza ongezeko la wagonjwa wapya 6 wa virusi vya Corona, idadi inayofanya kufikia wagonjwa 24 visiwani humo.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin