Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

WAGONJWA WAPYA 15 W CORONA WAONGEZEKA ZANZIBAR..VISA VYAFIKIA 98


Wizara ya Afya Zanzibar imetoa taarifa ya ongezeko la Wagonjwa wapya 15 wa corona na kufikisha idadi ya wagonjwa 98 kutoka 83.


Taarifa hiyo imesema wagonjwa wote ni Raia wa Tanzania (Unguja 10 na Pemba watano).

Kwa ongezeko hili sasa idadi ya visa vya corona Tanzania nzima imefikia 299 kutoka 284.


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com