Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

WAZIRI NDALICHAKO: "MITIHANI YA KIDATO CHA SITA ITAANZA RASMI TAREHE 29 JUNI, 2020"


Waziri wa Elimu Prof Joyce Ndalichako amesema, Mitihani ya Kidato cha 6 itaanza Juni 29, na kumalizika Julai 16, 2020, na mitihani hiyo itaenda sambamba na ile ya Ualimu na kulitaka Baraza la Mitihani kuhakikisha wanasambaza ratiba inayoonesha mitihani itakavyofanyika.


==>>Msikilize hapo chini


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com