WHO: KUPULIZIA DAWA YA KUUA VIUATILIFU BARABARANI, SOKONI (FUMIGATION) HAKUONDOI VIRUSI VYA CORONA
Wednesday, May 20, 2020
Shirika la Afya Duniani (WHO) limeonya kuwa zoezi la kupulizia dawa ya kuua viuatilifu(fumigation) barabarani au sokoni hakuondoi virusi vya Corona na badala yake kunahatarisha afya.
Taarifa ya WHO imesema, kufanya hivyo hakuwezi kuwa na tija katika kukabiliana virusi vya corona
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin