Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisikiliza maelezo kuhusu ujenzi wa Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kutoka kwa Inspekta Joseph Mwasabeja katika Makao Makuu ya Zimamoto Mkoani Dodoma.PICHA NA IKULU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Jengo la Ofisi za Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji lililopo Makole jijini Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akitazama kibao cha Ufunguzi mara baada ya kufungua Jengo la Ofisi za Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji.
Jengo la Makao Makuu Ofisi za Zimamoto Makole mkoani Dodoma. Maofisa wa Jeshi la Zimamoto wakipiga makofi wakati wakisikiliza hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kabla ya ufunguzi wa Jengo hilo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wafanyakazi wa Jeshi la Zimamoto kabla ya kufungua Jengo la Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji.
Social Plugin