Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO ALHAMIS JUNI 25,2020


 
Magazetini leo Alhamis June 25 2020, habari kubwa ni Lowasa na mkewe wamdhamini Magufuli, Bilionea Mpya Tanzania Saniniu Laizer mchimbaji mdogo wa madini huko Mererani aliyepata mawe mawili ya Tanzanite moja lenye uzito wa 9.2KGs na jingine 5.8KGs yenye thamani ya TZS 7.8 Bilioni.

















 \

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com