FREEMAN MBOWE AKIWA AMELAZWA BAADA YA KUSHAMBULIWA NA KUVUNJWA MGUU DODOMA
Tuesday, June 09, 2020
Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA ambaye pia ni Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe akiwa amelazwa katika hospitali ya DCMCT Ntyuka mkoani Dodoma kwa matibabu baada ya kushambuliwa na watu wasiojulikana na kuvunjwa mguu.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin