VIGOGO WANNE WIZARA YA MALIASILI NA UTALII WASIMAMISHWA KAZI
Thursday, June 04, 2020
Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Utalii, Deogratius Mdamu na kumsimamisha kazi Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa wizara, Flora Masami kutokana na mapungufu na ubadhirifu mkubwa kwenye Mfuko wa Maendeleo ya Utalii (TDL).
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin