Wizara ya Afya nchini Uganda imerekodi visa vipya 32 vya COVID19 nchini humo na idadi ya maambukizi hadi sasa ni 489, Wagonjwa wapya wote ni raia wa Uganda.
19 kati yao ni madereva wa malori , 13 waliosalia ni watu waliokuwa karibu na wagonjwa ambao tayari wamethibitishwa kuwa na virusi vya Corona.

Social Plugin