Wabunge watatu wa Viti Maalumu Kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo -CHADEMA wametangaza kuachana na chama hicho na kuomba kujiunga na CCM.
Wabunge hao wametangaza uamuzi huo leo Jumatatu June 15, 2020 ndani ya Bunge Jijini Dodoma
Wabunge hao ni Dkt. Immaculate Sware Semesi, Anna Gidarya na Latifa Chande
Social Plugin