Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

BONIPHACE BUTONDO ACHUKUA NA KURUDISHA FOMU KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KISHAPU


Aliyekuwa Mwenyekiti Halmashauri ya wilaya ya Kishapu mwaka (2006-2010) na (2016-2020), Boniface Butondo (kulia) leo Julai 17,2020 amechukua na kurudisha fomu ya kuomba kugombea Ubunge Jimbo la Kishapu mkoani Shinyanga kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). 


Boniface Butondo ambaye alikuwa Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (MNEC) mwaka 2012 - 2017 na Mwenyekiti Umoja wa Vijana CCM (UVCCM) mkoa wa Shinyanga mwaka 2002- 2008 amechukua na kurudisha fomu amerudisha fomu ya kuomba kugombea Ubunge Jimbo la Kishapu katika ofisi ya CCM wilaya ya Kishapu leo Julai 17,2020.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com