MNEC GASPAR KILEO 'GAKI' ARUDISHA FOMU KUGOMBEA UBUNGE SHINYANGA MJINI
Friday, July 17, 2020
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (MNEC) Gaspar Kileo maarufu 'GAKI' akirudisha fomu ya kuomba kugombea Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa Katibu wa CCM wilaya ya Shinyanga Mjini Agnes Bashemu (kushoto) leo Ijumaa Julai 17,2020 katika ofisi za CCM Wilaya ya Shinyanga Mjini. Picha na Marco Maduhu - Malunde 1 blog
Social Plugin