Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

KISENA FRED KISENA ARUDISHA FOMU KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA UKONGA

Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kisena Fred Kisena (kushoto)akirudisha fomu ya kuomba kugombea Ubunge Jimbo la Ukonga kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo Ijumaa Julai 17,2020

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com