COSTANTINE MOLLO NKUBA ARUDISHA FOMU KUGOMBEA UBUNGE SHINYANGA MJINI
Friday, July 17, 2020
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Costantine Mollo Nkuba akirudisha fomu ya kuomba kugombea Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa Katibu wa CCM wilaya ya Shinyanga Mjini Agnes Bashemu (kushoto) leo Ijumaa Julai 17,2020 katika ofisi za CCM Wilaya ya Shinyanga Mjini.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin