RAIS MAGUFULI AMTEUA LUTENI KANALI SAWALA KUWA MKUU WA WILAYA YA RUFIJI
Thursday, July 30, 2020
Rais Magufuli amemteua Luteni Kanali Patrick Kenani Sawala kuwa Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Mkoani Pwani akichukua nafasi ya Juma Njwayo ambaye uteuzi wake umetenguliwa.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin