“Sabasaba imekuwa nzuri sana kwakweli tumepata wageni wengi katika banda letu na kama kawaida imekuwa ni sehemu nzuri sana ya kuelezea huduma zetu pia nafasi nzuri
ya kuelezea mchango wetu katika serikali ya awamu ya tano chini ya Dkt.John Pombe Joseph Magufuli”,alisema.
ya kuelezea mchango wetu katika serikali ya awamu ya tano chini ya Dkt.John Pombe Joseph Magufuli”,alisema.
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF), Bw. Masha Mshomba (aliyesimama) akimsikiliza mwananchi huyu aliyefika kwenye banda la Mfuko huo katika viwanja vya Julius Nyerere maarufu Sabasaba ili kupata huduma. Anayemuhudumia ni Afisa Matekelezo Mwandamizi wa Mfuko Bi. Melinda Matinyi.
Muonekano wa banda la WCF Sabasaba
Bw. Mshomba (katikati) akiwa na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano WCF, Bi. Laura Kunenge (kushoto) wakimsikiliza kwa makini afisa huyu wa Mfuko. |
Bi. Melinda akimsikiliza mteja
Afisa Mwandamizi wa Usalama na Afya Mahala pa Kazi (OSH), Bi. Tumaini Kyando (kushoto) akitoa elimu kuhusu OSH na shughuli za Mfuko kwa ujumla wake.
Afisa msaidizi wa Madaina Tathmini WCF, Dkt. Brian (kushoto) akimsikiliza mwananchi huyu aliyefika katika banda la Mfuko kupata huduma.
Afisa Mwandamizi wa Madai, WCF, Bw. Silvanus Kulosha (kushoto) akimfafanulia kuhusu masuala mbalimbali yahusuyo shughuli za Mfuko mwananchi aliyetembelea banda la WCF.
Afisa Mwandamizi wa Usalama na Afya Mahala pa Kazi (OSH), Bi. Tumaini Kyando (kushoto) akitoa elimu kuhusu OSH na shughuli za Mfuko kwa ujumla wake.
Social Plugin