ABBAS TARIMBA AONGOZA KURA ZA MAONI CCM JIMBO LA KINONDONI
Monday, July 20, 2020
Katika kura za maoni CCM Jimbo la Kinondoni Abbas Tarimba Abbas Tarimba ameongoza kwa kupata kura 171, akifuatiwa na Idd Azann kura 77, George Wanyama 32 huku mbunge anayemaliza muda wake Maulid Mtulia akipata kura 11.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin