Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

ABDULAZIZ ABOOD AIBUKA KIDEDEA KURA ZA MAONI CCM JIMBO LA MOROGORO MJINI

AbdulAziz Abood ameshinda kura ya maoni CCM kuwania Ubunge wa Morogoro Mjini baada ya kupata kura 524 akifuatiwa na Merkiory Manset aliyepata kura 17. kura zilizopigwa zilikuwa 638.

Jumla ya kura zilizopigwa 638
Kura harali 636
Kura zilizoharibika 2

Matokeo
1. AbdulAziz Abood kura 524
2. Merkiory Manset kura 17
3. Ally Yahaya Simba 15
4. Idhah Omary Abdalah (Alsaedy) kura 10. 


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com