Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

ALIYEKUWA MBUNGE WA CHADEMA DAVID SILINDE AJITOSA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA TUNDUMA KUPITIA CCM

Aliyekuwa mbunge wa Momba kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), David Silinde amechukua fomu ya kugombea ubunge Tunduma Mkoa wa Songwe kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Silinde amechukua fomu hizo leo Jumanne tarehe 14 Julai 2020. Hadi mchana, wagombea 16 walikuwa wamekwisha chukua fomu kuwania nafasi hiyo.

Jimbo la Tunduma lilikuwa linaongozwa na Mbunge wa Frank Mwakajoka wa Chadema.


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com