Mbunge wa zamani wa jimbo la Siha,na mkuu wa mkoa mstaafu wa Tabora Aggrey Mwanri amechukua fomu ya ubunge wa jimbo la Siha Mkoani Kilimanjaro kupitia chama cha Mapinduzi - CCM.
Mwanri amekabidhiwa fomu na Katibu wa CCM Wilaya ya Siha Mwanaidi Mbisha katika Ofisi za CCM Wilaya.
Social Plugin