ALOYCE TENDEWA ACHUKUA FOMU YA UBUNGE JIMBO LA KILOMBERO
Tuesday, July 14, 2020
Aliyekuwa Mlinzi wa zamani wa Baba wa Taifa ambaye pia alikuwa mlinzi mkuu wa Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa, Aloyce Tendewa amechukua fomu ya kuwania ubunge jimbo la Kilombero kwa tiketi ya CCM
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin