MWENYEKITI WA KACU EMANUEL CHARAHANI ARUDISHA FOMU YA KUGOMBEA UBUNGE KAHAMA MJINI
Thursday, July 16, 2020
Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Ushirika Kahama (KACU) Emanuel Charahani leo Julai 16, 2020 amerudisha fomu ya kuomba ridhaa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kugombea Ubunge wa Jimbo la Ushetu kutoka kwa Katibu wa CCM wilaya ya Kahama Emanuel Mbamange (kushoto). Picha na Salvatory Ntandu
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin