Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

DAVID SILINDE ASHINDWA KURA ZA MAONI CCM JIMBO LA TUNDUMA.....MSHINDI NI ADEN MWAKYONDE

Aliyekuwa mbunge wa Momba kupitia Chadema, David Silinde ameshindwa kura za maoni Jimbo la Tunduma Mkoa wa Songwe kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kupata kura 118 huku Aden Mwakyonde akiibuka mshindi kwa kura 250 na Daines Sichalwe kura 20.


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com