Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

MWENYEKITI WA UVCCM DOTTO JOSHUA AJITOSA UBUNGE JIMBO LA SHINYANGA MJINI


Katibu wa CCM wilaya ya Shinyanga Mjini, Agnes Bashemu akimkabidhi fomu ya kuomba kugombea ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini, Dotto Simon Joshua leo Julai 14,2020.

Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Mwenyekiti wa UVCCM wilaya ya Shinyanga Mjini, Dotto Simon Joshua amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya Chama cha Mapinduzi kugombea Ubunge jimbo la Shinyanga Mjini.

Dotto Simon Joshua amekuwa wa kwanza kuchukua fomu katika ofisi za CCM wilaya ya Shinyanga mjini leo Julai 14, 2020 mnamo saa 2:09 asubuhi.
Dotto Simon Joshua

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com