Mjasiriamali Kashi Salula Gacha amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya Kuwania nafasi ya Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Kashi Salula Gacha amechukua fomu leo Jumatano Julai 15 amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kupitishwa na chama chake kugombea Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini.
Katibu wa CCM wilaya ya Shinyanga Mjini, Agnes Bashemu akimkabidhi Kashi Salula Gacha fomu ya kuomba ridhaa ya Kuwania nafasi ya Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM.
Mjasiriamali Kashi Salula Gacha akionesha fomu ya kuomba ridhaa ya Kuwania nafasi ya Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM.
Social Plugin