Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

MNEC IDD KASSIM ACHUKUA FOMU KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA MSALALA



Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa Chama Cha Mapinduzi (MNEC) Iddi Kassim Iddi  leo Julai 16, 2020 amechukua fomu za kuomba ridhaa ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Msalala kupitia CCM. Kushoto ni  Katibu wa CCM wilaya ya Kahama Emanuel Lameck Mbamange akimkabidhi fomu Iddi Kassim Idd.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com