Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

JOSHUA NASSARI AJITOSA TENA KUGOMBEA UBUNGE KUPITIA CCM

Aliyekuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki (CHADEMA) kabla ya kuvuliwa Ubunge na baadaye kuamua kuhamia CCM, Joshua Nassari amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Ubunge kwa mara nyingine tena katika Jimbo hilohilo la Arumeru Mashariki.


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com