LEMA APITA KURA ZA MAONI KUGOMBEA UBUNGE ARUSHA MJINI
Sunday, July 19, 2020
Aliyekuwa mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema ameshinda kwenye kura za maoni za chama hicho kwa kupata kura 181 kati ya kura 207 hivyo anakuwa mgombea atakayepeperusha bendera ya CHADEMA kugombea ubunge jimbo la Arusha mjini
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin