JAMES LEMBELI ACHUKUA FOMU KUGOMBEA UBUNGE KAHAMA MJINI
Thursday, July 16, 2020
Aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo La Kahama kwa Kipindi cha Mwaka 2005-2015 James Daudi Lembeli Leo Julai 16, 2020 amechukua fomu ya Kuomba ridhaa ya Kuteuliwa kuwa Mbunge wa Jimbo la Kahama Mjini Kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM). Kushoto ni Katibu wa CCM wilaya ya Kahama Emanuel Mbamange. Picha na Salvatory Ntandu
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin