Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

MANYAMA ACHUKUA FOMU KUGOMBEA UBUNGE SHINYANGA MJINI



Katibu wa CCM wilaya ya Shinyanga Mjini, Agnes Bashemu (kushoto) akimkabidhi fomu ya kuomba kugombea Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini, Jonathan Manyama Kifunda leo Julai 14,2020 katika ofisi za CCM wilaya ya Shinyanga Mjini

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com