HATIBU MGEJA ACHUKUA FOMU KUWANIA UBUNGE JIMBO LA MSALALA
Wednesday, July 15, 2020
Katibu wa CCM wilaya ya Kahama Emmanuel Mbamange akimkabidhi Hatibu Madata Mgeja fomu ya Kugombea Ubunge Jimbo Msalala kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo Julai 15,2020.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin