Khamis Mgeja leo Julai 15,2020 akionesha fomu ya kuomba ridhaa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kugombea nafasi ya Udiwani Kata ya Kilago wilayani Kahama mkoani Shinyanga.
Mwanasiasa Mkongwe na aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Shinyanga ambaye sasa ni Mwenyekiti wa taasisi ya Tanzania Mzalendo Foundation nchini, Khamis Mgeja leo Julai 15,2020 amechukua fomu kuomba ridhaa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kugombea nafasi ya Udiwani Kata ya Kilago wilayani Kahama mkoani Shinyanga.
Social Plugin