MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM PAUL MAKONDA ACHUKUA FOMU KUWANIA UBUNGE JIMBO LA KIGAMBONI
Wednesday, July 15, 2020
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda leo Julai 15 amechukua Fomu ya kuomba ridhaa ya Kuwania nafasi ya Ubunge Jimbo la Kigamboni kupitia tiketi ya Chama cha mapinduzi CCM.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin