Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

JOHN MLYAMBATE ACHUKUA FOMU KUGOMBEA UBUNGE SHINYANGA MJINI



Afisa Uhusiano Halmashauri ya Chalinze mkoani Pwani, John Mlyambate akionesha fomu ya kuomba kuwania ubunge jimbo la Shinyanga mjini leo Jumanne Julai 14,2020 baada ya kuchukua katika ofisi za CCM Wilaya ya Shinyanga Mjini. Mlyambate ambaye ni mkazi wa Shinyanga Mjini amesema atazungumzia vipaumbele vyake baada ya chama chake kumpitisha kuwa mgombea ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini. Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Afisa Uhusiano Halmashauri ya Chalinze mkoani Pwani, John Mlyambate akionesha fomu ya kuomba kuwania ubunge jimbo la Shinyanga mjini

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com