Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

MRISHO GAMBO ACHUKUA FOMU ZA KUGOMBEA UBUNGE KATIKA JIMBO LA ARUSHA MJINI


Aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo, leo amechukua fomu za kugombea ubunge katika jimbo la Arusha Mjini, kupitia chama cha Mapinduzi



Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com